SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI ANDISHI- KISWAHILI KIDATO CHA TATU
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
40 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Eleza msingi wa uhakiki

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kusoma na kuhakiki kazi za fasihi andishi

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze: 1. Kueleza zana ya uhakiki 2. Kueleza misingi ya uhakiki

5. MAIN TOPIC
UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI ANDISHI

6. SUB-TOPIC
4.1 Kuelewa uhakiki

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Tatu, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Picha za mabango yanayoonesha mambo yanayohusu Ukimwi, Ajira mbaya ya mtoto Mazingira na jinsia

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 10 Mwalimu kwa kutumia maswali na majibu majadiliano, awaongoze wanafunzi kubaini zana ya uhakiki Wanafunzi wajadili, wajibu maswali na kubaini zana ya uhakiki Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 40 Mwalimu awape wanafunzi matini ya kifasihi inayojumuisha njia za kuzuia UKIMWI na waisome Wanafunzi wajadili na wabaini misingi ya kuhakiki kwa kuzingatia fani katika kazi hizo. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 10 Kwa kutumia misingi ya kuhakiki mauzui mwalimu awaongoze wanafunzi wajadili na kubaini mauzui katika matini waliosoma na kutoa sababu Wanafunzi wabaini mauzui katika matini waliosoma. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 10 Kwa kutumia misingi ya kuhakiki mauzui mwalimu awaongoze wanafunzi wajadili na kubaini mauzui katika matini waliosoma na kutoa sababu Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 10 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI ANDISHI- KISWAHILI KIDATO CHA TATU For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256